Maonyesho ya kilimo eneo la Mlima Kenya yaanza leo mjini Nanyuki

  • | Citizen TV
    150 views

    Maonyesho ya Kilimo eneo la Mlima Kenya yanaanza leo mjini Nanyuki, huku idadi ya wanaoshiriki katika shughuli hii ya siku nne ikiongezeka.