- 253 viewsDuration: 1:55Mapendekezo yametolewa kubadilisha sheria inayodhibiti Tume ya Kupambana na Ufisadi nchini (EACC), ambapo imependekezwa tume hiyo ipewe nguvu zaidi za kuwafungulia mashtaka washukiwa wa ufisadi. Haya yamezungumziwa kwenye kikao cha washikadau hapa Nairobi ambapo tume hiyo imetajwa kuwa na mapungufu mengi katika utekelezaji wa kazi zake.