Maseneta wa Azimio wakurupuka na kuondoka seneti kabla ya waziri Moses Kuria kuanza kuhojiwa

  • | Citizen TV
    1,279 views

    Maseneta wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya walikurupuka bungeni na kuondoka kabla ya waziri wa Biashara Mosses Kuria kuanza kuulizwa masuali.