- 146 viewsMuungano wa kushinikiza amani kwenye uchaguzi mkuu ujao umebuniwa huku mashirika 14 yakiungana kuendesha mchakato huu. Muungano huu unaojumuisha taasisi za kupigania haki za kiraia na unaojumuisha chama cha wanahabari nchini unalenga kuendesha kampeni za amani kuhakikisha amani kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao