- 13,386 viewsDuration: 1:08Karibu na Hifadhi ya Chui ya Mudumalai kusini mwa India, tembo alijaribu kufikia maembe yaliyokuwa ndani ya gari. Baada ya kushindwa kuyapata, mnyama huyo aliamua kupindua gari lililokuwa limeegeshwa. Hakuna mtu aliyedhurika katika tukio hilo. @frankmavura #bbcswahili #tendo #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw