- 21,272 viewsDuration: 3:06Mjane wa marehemu Tob Cohen, Sarah Wairimu, alishindwa kustahimili hali baada ya maafisa wa polisi kuonyesha mahakamani video za jinsi maiti ya Cohen ilivyopatikana ikiwa imefichwa kwenye tangi la maji baada ya kuuawa. Video hizo zilionyesha jinsi maiti hiyo ilivyokuwa imefungwa kwa kamba na kufunikwa. Wakati huo huo, Wairimu pia aliomba mahakama impatie ruhusa ya kuzuru nyumba yake pamoja na kumruhusu kutoa fedha zake benki.