16 Apr 2026 1:33 pm | Citizen TV 329 views Duration: 1:27 Mashirika yanayohusika na masuala ya elimu yakiongozwa na Elimu Bora yamejitokeza kushtumu vikali chama cha walimu wa kike - KEWOTA - kwa kukusanya makato ya kila mwezi ya walimu hao bila idhini yao.