- 121 viewsDuration: 1:40Mashirika ya kiuchumi chini ya vuguvugu la okoa uchumi yanaitaka bunge la taifa kusitisha mara moja mswada wa hazina ya utajiri wa taifa (SWF) wa mwaka 2026, yakionya kuwa una mapungufu makubwa yanayoweza kufungua njia ya matumizi mabaya ya mabilioni ya fedha za umma. Wanasema hii ni kutokana na ukosefu wa uwazi kuhusiana na hazina hiyo. Aidha mashirika hayo yanataka mswada uchambuliwe upya na mkaguzi wa serikali apewe mamlaka ya kusimamia fedha hizo