Mashirika yateta masuala ya watu wanaoishi na ulemavu katika sherehe katika makavazi ya Kenya

  • | NTV Video
    143 views

    Dunia inapoadhimisha Siku ya Ulemavu Duniani, Leo mashirika kadhaa yalikusanyika kusherehekea na kutetea masuala mbalimbali yanayohusu watu wenye ulemavu. Sherehe hizo zilifanyika leo katika Makavazi ya Kenya.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya