Maskauti wataka serikali kuwahusisha kuhubiri amani katika Bonde la Kerio

  • | Citizen TV
    349 views

    Chama cha maskauti Ukanda wa kaskazini mwa Bonde la Ufa, sasa wanaitaka serikali kuwahusisha katika mchakato wa kuhubiri amani katika bonde la Kerio. hii ni kutokana na wengi wa wanafunzi kuathirika na utovu wa usalama katika maeneo hayo.