7 Nov 2025 2:05 pm | Citizen TV 234 views Duration: 2:50 Matayarisho ya mbio za nyika za Chepsaita makala ya tatu yameng'oa nanga rasmi katika kaunti ya Uasin Gishu. Kufikia sasa wanariadha elfu 5 tayari wamejisajili kushiriki Mashindano hayo yatakayofanyika tarehe 6 mwezi Desemba