Skip to main content
Skip to main content

Matumaini ya fidia ya jamii ya Talai kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    436 views
    Duration: 2:20
    Kauli mpya kutoka kwa kaimu Balozi wa Uingereza nchini Kenya, Dkt. Barnet, imezua matumaini mapya kwa jamii ya Talai katika Kaunti ya Nandi kufuatia madai yao ya muda mrefu ya fidia kutokana na madhila waliyopitia chini ya utawala wa kikoloni wa Uingereza.