19 Dec 2025 1:14 pm | Citizen TV 199 views Duration: 2:20 Ofisi ya mdhibiti wa Bajeti imeibua maswali kwa serikali za Kaunti kufuatia kukosa muda katika kukubalika kwa bajeti hivyo basi kuvunja Kanuni ya Usimamizi wa Fedha za Umma.