Skip to main content
Skip to main content

Mauaji tata Kerugoya, wanaharakati wataka majibu kuhusu kifo cha David Mwaniki

  • | Citizen TV
    2,284 views
    Duration: 3:04
    Wanaharakati wanaibua masuali kuhusu kifo cha David Munene Mwaniki, mwanmme wa miaka 42 aliyefariki hospitali baada ya kukamatw ana maafisa wa kulinda misitu kerugoya. Uchunguzi wa maiti ulibainisha kuwa alitoka nyingi kwenye ubongo baada ya kupigwa. David alikuwa amepelekwa hospitalini siku moja baada ya kukamatwa kufuatia amri ya mahakama.