Skip to main content
Skip to main content

Mawakili waliokamilisha masomo yao kuanza kazi rasmi

  • | Citizen TV
    232 views
    Duration: 5:20
    Hafla maalum ya kuapishwa rasmi kwa mawakili wapya inayoongozwa na jaji Mkuu Martha Koome inaandaliwa hii leo katika mahakama ya upeo. Mawakili 920 wanakula kiapo maalum na kisha wataorodheshwa rasmi kama mawakili waliokamilisha mafunzo na kufuzu kutekeleza majukumu yanayoambatana na taaluma hiyo. Miongoni mwa wanaofuzu ni mkurugenzi wa uhariri wa kampuni ya Royal Media, Linus Kaikai.