Mazishi ya Mwanahabari na Mfanyibiashara Sally Kwendo

  • | West TV
    421 views
    Mwanahabari na mfanyibiashara sally kwendo amezikwa ijumaa hii katika kijiji cha ebulonga eneo bunge la luanda kaunti ya vihiga huku jamaa, marafiki na viongozi kutoka tabaka mbalimbali wakifika kumpa mkono wa buriani