Skip to main content
Skip to main content

Mbolea yazua kiwewe

  • | Citizen TV
    285 views
    Duration: 3:06
    Wakulima wa mahindi wanaendelea kulalamikia uhaba wa mbolea ya kunyunyizia mazao yao, wakihofia kuwa hali hiyo huenda ikaathiri pakubwa mavuno yao. Wakulima eneo la Kitale sasa wanaitaka serikali kuchukua hatua za haraka kuhakikisha mbolea inapatikana ndani ya muda wa wiki mbili zijazo.