Mbunge Gitonga Mukunji akosoa kauli ya gavana wa Embu Cecily Mbarire kuwa kuna njama dhidi yake

  • | NTV Video
    840 views

    Siku moja baada ya mwenyekiti wa chama cha UDA na gavana wa Embu, Cecily Mbarire, kudai kuwa kuna njama inapangwa dhidi yake na watu kutoka serikali ya Rais Ruto, mbunge wa Manyatta, Gitonga Mukunji, amemkosoa vikali gavana huyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya