Skip to main content
Skip to main content

Mbunge Jack Wamboka atimuliwa kamati kwa tuhuma za rushwa

  • | Citizen TV
    2,888 views
    Duration: 3:19
    Madai ya ulaji rushwa na mlungula sasa yameingia bunge la kitaifa huku mbunge wa bumula Jack Wamboka akitimuliwa kwenye wadhfa wake wa mwenyekiti wa kamati ya uwekezaji kwa madai ya ufisadi. Akitangaza uamuzi huo, naibu spika wa bunge la kitaifa Gladys Boss, amesema mwenyekiti wa tume ya kitaifa ya uwiano na utangamano NCIC Dkt. Samuel Kobia, aliibua malalamishi kwamba mbunge huyo alimuitisha rushwa kwenye kamati yake.