Skip to main content
Skip to main content

Mbunge wa Bumula awalaumu viongozi wa awali kwa ufujaji wa pesa za shule

  • | Citizen TV
    135 views
    Duration: 1:34
    Mbunge wa Bumula Jack Wamboka ameshutumu vikali viongozi wa awali akisema walitelekeza sekta ya elimu wakati walipokuwa uongozini.