20 Nov 2025 10:24 am | Citizen TV 245 views Duration: 1:33 Mbunge wa Likuayani, Innocent Mugabe,amezindua ujenzi wa nyumba 200 chini ya mpanga wa nyumba za bei rahisi zitakazonufaisha wakazi wa wadi ya Nzoia.