Shangwe na majonzi ya furaha zilisheheni kijiji cha Kimong, eneo bunge la Mosop katika kaunti ya Nandi baada ya viongozi wa kisiasa kujumuika na wakazi kusherekea na kumkaribisha nyumbani mbunge wao Abraham Kirwa ambaye amekuwa ughaibuni akipokea matibabu kwa takriban miaka 2 sasa.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya