Skip to main content
Skip to main content

Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi aunga mkono azma ya Edwin Sifuna ya kuwania urais

  • | Citizen TV
    24,118 views
    Duration: 1:16
    Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi, ni wa hivi punde kuunga mkono azma ya urais ya seneta wa kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna. Mbunge huyo ambaye anamezea kiti cha ugavana kaunti ya Bungoma amewarai wafuasi wake na wakaazi wa Bunguma kumpa nafasi seneta Sifuna kwa sababu anamaadili na uzoefu wa uongozi. Aidha Wanyonyi pia amewataka wakaazi kupiga darubini mienendo ya wanasiasa kabla ya kufanya maamuzi yao Mwaka ujao akisisitiza kuwa viongozi wenye maendeleo ndio wanaostahili kuchaguliwa.