- 35,203 viewsDuration: 1:56El Nino ya mwaka huu si suala la mvua pekee. Ni hali ya hewa inayoweza kuathiri chakula, usafiri, afya na kipato cha familia, huku athari zake zikitarajiwa kuendelea hadi mwaka 2027. Je maandalizi gani nyumbani kwenu na familia yenu mnapswa kuyafanya? @beldeen__waliaula anakutajia mambo 3 ambayo familia yako inapaswa kufanya sasa kuhusu El Nino #bbcswahili #elnino #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw