- 828 viewsDuration: 2:40Wafanyabiashara wa Karatina kaunti ya nyeri walifunga barabara kuu, wakitaka hatua kuchukuliwa dhidi ya polisi aliyempiga risasi mfanyabiashara George Gathu jana usiku. mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa polisi IPOA imesema imeanzisha uchunguzi, baada ya afisa huyo Peter Wamiti Mwangi kukamatwa.