- 507 viewsDuration: 2:59Huduma katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta zilitatizika mapema leo baada ya wauguzi kugoma, wakilalamikia uhaba wa wafanyakazi na huduma nyingine za maslahi yao. Wauguzi hawa haswa wakilalamikia kucheleweshwa kwa makato yao ya kila mwezi, na hata bima ya afya.