Michezo wa mazingira Kwale

  • | Citizen TV
    481 views

    Kama njia ya kuboresha tamaduni ya michezo na uhamasishaji wa utunzaji wa mazingira katika kaunti ya kwale, shirika la kijamii la kwale sports excellence limeanzisha mpango wa kutumia uendeshaji baiskeli ili kuafikia hilo.