Michezo ya shule ya upili: St. Joseph yailaza shule ya upili ya Highway mabao matatu kwa moja

  • | NTV Video
    298 views

    Instin Simiyu alifungia shule ya upili ya St. Joseph's mabao mawili katika mechi yao ya ufunguzi kwenye mashindano ya michezo ya sekondari walipolaza mabingwa watetezi shule ya upili ya Highway ya Nairobi mabao matatu kwa moja.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya