- 4,815 viewsDuration: 1:30Naibu kinara wa chama cha Jubillee Fred Matiang'i amesema kuwa muungano wa upinzani uko imara kumchagua kiongozi atakayepeperusha bendera ya urais mwaka wa 2027. Akizungumza na wanahabari hapa jijini Nairobi, Matiangi amesema kuwa taifa linakumbwa na matatizo mengi yanayohitaji kiongozi asiye na ubinafsi.