- 85 viewsDuration: 1:57Shirika la Huduma za Misitu Nchini KFS kwa ushirikiano na taasisi za KALRO na FAO zimeandaa warsha ya kwanza ya wadau mbalimbali katika Chuo cha Kitaifa cha Ufundi mjini Kitale, likilenga kuimarisha juhudi za kuhifadhi Msitu wa Mlima Elgon. Warsha hiyo imewaleta pamoja wataalamu na washiriki tofauti ili kujadili mbinu na mikakati endelevu ya usimamizi wa misitu.