- 2,773 viewsKama ukiwauliza watu ni mgombea gani wa urais Marekani ni mtu wa dini sana, kuna dalili wote watasema “mimi”. Mwandishi wa VOA Carlyn Presutti anaangalia mwenendo na taratibu za Rais Joe Biden na Rais wa zamani Donald Trump kuhusiana na suala la imani. Patrick Nduwimana anaisoma ripoti kamili. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
MISIMAMO YA KIDINI BAINA YA WAGOMBEA BIDEN NA TRUMP
- 15 May 2025 - Interior CS Kipchumba Murkomen has urged leaders to notify the police of planned political activities to provide adequate security following the chaos that erupted during the unveiling of Rigathi Gachagua's outfit, the Democracy for the Citizens Party (…
- » Governors endorse privatization of sugar factories as private sector to inject Ksh.12 billion investment15 May 2025 - The Council of Governors (COG) has backed the government's decision to lease four major sugar factories to private investors, marking a significant endorsement of the ongoing sugar sector reforms in the country.
- 15 May 2025 - The expansion of the Rironi-Mau Summit Road into a dual carriageway will commence this July, Deputy President Kithure Kindiki announced on Thursday.
- 15 May 2025 - Kenya's electricity supply will not be interrupted despite several major dams exceeding their capacity, top energy officials confirmed on Thursday.
- 15 May 2025 - EACC on Wednesday arrested three directors of Ramagon Construction Company Limited in an ongoing probe on the under siege Matili Technical Training Institute (MTTI) which is facing auction.
- 15 May 2025 - The government has unveiled a multi-agency team that will consolidate existing registers for all students in the country, from early childhood to university level, into a single integrated database.
- 15 May 2025 - The Ministry of Agriculture has secured a Ksh. 12.29 billion investment to go towards the revival of Nzoia Sugar, Chemilil Sugar, Sony Sugar, and Muhoroni Sugar.
- 15 May 2025 - Gospel artist Alex Nyachonga Apoko, popularly known as Ringtone, was on Thursday arraigned at the Milimani Law Courts alongside co-accused Alfred Juma Ayora over allegations of defrauding a businesswoman of a parcel of land worth Ksh.50 million.
- 15 May 2025 - This comes after the court ordered the accused to be remanded at the Industrial Area Prison until Monday, May 19,
- 15 May 2025 - The Ministry of Education has unveiled a multi-agency team to spearhead the creation of a new integrated education data system, the Kenya Education Management Information System (KEMIS). KEMIS will replace the current National Education Management…