Skip to main content
Skip to main content

Mivutano yazidi kupamba moto Mbeere North kati ya kampeni za uchaguzi mdogo

  • | Citizen TV
    841 views
    Duration: 1:40
    Ubabe wa Kisiasa katika kampeni za uchaguzi mdogo Mbeere North huko Embu umeendelea huku serikali na upinzani wakilaumiana kwa tuhuma za kupangwa kwa vurugu siku ya uchaguzi. Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amedai kwamba kuna njama ya kuwatisha wakazi wa Mbeere North siku ya uchaguzi huku Naibu Rais Kithure Kindiki akidai kwamba Gachagua ana njama ya kugawanya jamii ya Mbeere.