- 18,409 viewsDuration: 2:36kijana wa miaka 25 anaendelea kutibiwa katika hospitali moja eneo la Busia akiuguza majeraha baada ya mkewe kumchoma kwa maji ya moto. Inaripotiwa kuwa Ishmael Oundoh alimwagiwa maji hayo wakati wa ugomvi na mkewe. Mshukiwa aliyekamatwa awali ameachiliwa kwa dhamana.