Mke wa mwanaharakati Boniface Mwangi asisitiza hatoondoka nje Ubalozi wa Tanzania

  • | BBC Swahili
    50,595 views
    Bi Mwangi amesisitiza kwamba hatoondoka nje ya ofisi za Ubalozi wa Tanzania hadi ajue hali ya mume wake na mwanaharakati mwenza Agatha Atuhaire wa Uganda ambaye Boniface alikuwa amekwenda kumjulia hali katika kituo cha polisi kabla ya kukamatwa. Leila Mohamed @mrs.tadicha ana maelezo zaidi. 🎥 @brianmala #bbcswahili #wanaharakati #kenya #siasa #tanzania