Skip to main content
Skip to main content

Mkenya aliyelaghaiwa kupelekwa Myanmar afidiwa shilingi milioni tano na mahakama

  • | Citizen TV
    3,247 views
    Duration: 3:11
    Mahakama imemfidia mmoja wa waathiriwa wa ulanguzi wa binadamu nchini Myanmar shilingi milioni tano baada ya kubaini kuwa maejenti wa humu nchini walimlaghai kuwa angeajiriwa nchini Thailand. Maajenti hao walipatikana na hatia ya kumzuilia mkenya huyo katika kambi ya mateso nchini Myanmar ambapo alikuwa anashirikishw akuwalaghai watu mtandaoni. Jaji Byram Ongaya amewaamrisha washtakiwa kutoka kampuni ya Gratify International Ltd kumlipa kijana huyo wa chuo kikuu