Mkurugenzi Patel devesh adai alishurutishwa kusema alisambaza mbolea gushi

  • | TV 47
    55 views

    Sakata ya usambazaji wa mbolea bandia humu nchini imechukua mkondo mpya baada ya mkurugenzi wa kampuni ya kel limited patel devesh kuiambia kamati ya bunge la kitaifa kuhusu kilimo kuwa baadhi ya viongozi wakuu serikalini walimtishia maisha na kumshurutisha kukubali kuwa mbolea bandia iliyokua ikisambazwa ilikua ya kampuni hiyo.

    #UpeoWaTV47 #KDFHelicopterCrash

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __