Mkutano wa Azimio watatizwa na vitoa machozi katika kaunti ya kiambu

  • | K24 Video
    1,876 views

    Mkutano wa siasa wa muungano wa Azimio la umoja katika kaunti ya kiambu ulitatizwa kwa muda baada ya vitoa machozi kurushwa katika umati. Hatahivyo mkutano huo uliendelea baada ya utulivu kurejea ambapo kinara wa azimio amewataka wakenya milioni moja wajitokeze kushiriki maandamano ya jumatatu jijini nairobi.