Mlevi anusurika kukanyagwa na treni baada ya kulala kwenye reli

  • | BBC Swahili
    984 views
    Mwanaume mmoja amenusurika kugongwa na treni baada ya kulala kwenye njia za treni nchini Peru. Picha za uchunguzi zinaonyesha alikiwa amelala bila kutikisika kabla ya treni ya mizigo iliyokuwa ikienda polepole kumkanyaga. Alisimama muda mfupi baada ya kunusurika huko Lima. #bbcswahili #lima #brazil Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw