Moshi mweusi waonekana kuashiria hakuna aliyefika theluthi mbili ya kura ya kumchagua papa mpya

  • | TV 47
    145 views

    Hakuna aliyepata thuluthi mbili ya kura zinazohitajika kuwa papa iliyoashiriwa na moshi mweusi ulioonekana ukifuka kutoka kwenye bomba la moshi katika kanisa hilo.

    Kikao cha kumchagua papa mpya kuendelea hii leo.

    Hapo jana makadinali hawakuafikia uamuzi.

    Makadinali 133 wanashiriki katika uchaguzi huu.

    Kutakuwa na vikao vine vya kupiga kura hii leo.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __