- 6,726 viewsDuration: 2:40Wafanyibiashara wamewachwa wakikadiria hasara baada ya moto kuteketeza duka la ramogi kwenye barabara ya luthuli katikati mwa jiji la Nairobi usiku wa jana. Moto huo ulioteketeza maduka unaripotiwa kusababishwa na hitilifau ya umeme kwenye duka moja na kusambaa