7 Nov 2025 10:14 am | Citizen TV 47 views Duration: 1:39 Serikali inaendeleza ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme kupitia miale ya Jua kule Baricho, kaunti ndogo ya Malindi ili kutatua changamoto za uhaba wa maji unaoshuhudiwa mara Kwa mara katika kaunti za Kilifi na Mombasa.