Skip to main content
Skip to main content

Msafara wa Jijue Better wazuru eneo la North Rift

  • | KBC Video
    109 views
    Duration: 1:08
    Awamu ya tatu ya kampeni ya Jijue Jibetter ambayo inahusisha mjazo wa fomu za kumbukumbu za malipo ya ushuru ilikamilisha shughuli zake katika kaunti ya Trans Nzoia. Msafara huo wa halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini KRA kwa ushirikiano na shirika la utangazaji nchini KBC uliwahamasisha walipaji ushuru kuhusu haja ya kujaza fomu zao kwa wakati unaofaa kupitia mpango wa kibinafsi unaompa anayejaza fursa ya kujaza fomu hiyo kwa kutumia simu ya mkononi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive