31 Oct 2025 1:29 pm | Citizen TV 141 views Duration: 4:28 Msafara Wa jipange Na Viusasa umeingia kaunti ya Murang'a Kwa kishindo, wakazi walijitokeza kujumuika Na Watangazaji Wa inooro fm na Radio citizen katika shamrashamra za kuadhimisha miaka minane ya Viusasa