7 Nov 2025 7:32 pm | Citizen TV 48 views Duration: 1:16 Msafara wa Jipange na Viusasa unaendelea kunoga katika ukanda wa Magharibi, leo ukizuru kaunti za Bungoma na Busia. Msafara ulianzia Kimaeti na kumalizikia Butula