Skip to main content
Skip to main content

Msafara wa Jipange na VIUSASA wazuru kaunti ya Kiambu

  • | Citizen TV
    437 views
    Duration: 8:18
    Msafara wa jipange Na VIUSASA Kwa siku ya pili mfululizo unazuru kaunti ya Kiambu kuanzia Githurai Hadi Gatundu Kisha kumalizia Ruiru. Viusasa inaadhimisha miaka minane ya vipindi Moto moto kwenye Kiunzi cha VIUSASA pamoja Na mashabiki wake mashinani. Jiunge Na Viusasa Kwa shilingi 50 update, upate fursa ya kutazama vipindi vya kusisimua Na nafasi ya kujishindia shilingi 50,000 kila siku nusu milioni kila wiki Na Zawadi kuu ya shilingi Milioni mbili.