- 5,153 viewsDuration: 2:33Polisi katika eneo la Makadara hapa Nairobi wanamzuilia mshukiwa aliyeripotiwa kuchoma nyumba na kusababisha kifo cha mtoto mmoja eneo la Mukuru amekamatwa. Ronald Nyakohe anatarajiwa kufikishwa mahakamani hapo kesho huku mama na mwanawe wakiendelea kutibiwa kwa majeraha ya moto katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta.