Mshukiwa wa Mauaji ya Mbunge Charles Were aachiwa kwa shamana ya Sh300,000

  • | NTV Video
    823 views

    Mwanasiasa na mfanyabiashara Phillip Aroko, ambaye ni mshukiwa katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mbunge wa Kasipul, Charles Were, ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi 300,000 na Mahakama ya Kibra kama ilivyotolewa awali na Mahakama ya JKIA.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya