Skip to main content
Skip to main content

Mswada wa fedha 2026 waibua mvutano bungeniMbadala:

  • | Citizen TV
    559 views
    Mswada wa fedha wa mwaka 2026 umewasilishwa bungeni leo ambapo umesomwa kwa mara ya pili. Bunge sasa limeanza mchakato wa kuupitisha mswada huo kabla ya mwaka mpya wa kifedha kuanza Julai mosi. Na kama anavyoarifu Emmanuel Too, kikao hicho kilichemka baada ya wabunge wa upande wa serikali na wale wa upinzani kulumbana kuhusu mapendekezo ya kubadilisha sheria ya ushuru wa nyumba.