- 827 viewsDuration: 3:17Familia, marafiki na waumini wa kanisa katoliki walijumuika kusherehekea huduma za Mtawa Markina Nyambura ambaye alitembea kwa miguu kwa zaidi ya kilomita 60 alipokuwa na umri wa miaka 17, ili kujiunga na muungano wa watawa wa Mary immaculate kaunti ya Nyeri. Tangu siku hiyo, miaka 70 baadaye, mtawa Nyambura amekuwa akitoa huduma zake kwa kanisa katoliki