Mtoto aliyeibwa mtaani Kamkunji, Nairobi apatikana huko Kitui

  • | K24 Video
    23,105 views

    Mtoto Joy Muthoni aliyetangazwa kupotea hapa jijini nairobi amepatikana baada ya runinga ya K24 kuangazia tukio la utekaji nyara la mtoto huyo pamoja na kuweka wazi picha za CCTV za tukio hilo. Hii leo mtoto huyo amepatikana katika kaunti ya Kitui akiwa buheri wa afya